HabariK24 TvSwahiliVideos

Ubomoaji wa jumba la Airgate waendelea kwa siku ya pili

Air gate

Ubomoaji wa jumba la Airgate Mall al -maarufu Tajj Mall ulioanza hapo jana uliendelea hii leo baada ya sehemu ya nyumba hiyo kuanguka wakati wabomoaji walikuwa wakiondoa mabaki ya jengo hilo.

Mmiliki wa jumba hilo Ramesh Chandaria Gorasia ambaye hakufika eneo hilo ametishia kuelekea kortini kuwashtaki wabomoaji hao licha ya kupewa ilani ya kuhama mwezi mmoja uliopita.

 

Show More

Related Articles

Check Also

Close