People Daily

Shamba la mauti : Mwanamume amuua mwenzake kutokana na mzozo wa ardhi Kakamega

Shamba la mauti

Mwanamume mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha shisasari kaunti ya Kakamega baada ya kumuua mwenzake kufuatia mzozo wa shamba.

Inadaiwa kesi kuhusu utata wa ardhi hiyo ingali mahakamani na ilitazamiwa kusikizwa tarehe shirini na tano mwezi huu.

 

Show More

Related Articles