HabariSwahili

Rais akatiza kimya chake kuhusiana na ushuru wa bidhaa za mafuta

Rais Kenyatta akatiza kimya chake kuhusiana na ushuru wa bidhaa za mafuta.
Rais Uhuru Kenyatta amevunja kimya chake  kuhusiana na nyongeza ya asilimia 16 ya ushuru kwa bidhaa za petroli na kupendekeza ushuru huo kupunguzwa hadi asilimia 8.
Rais Kenyatta amependekeza bei ya petroli kupunguzwa kutoka shilingi 127 hadi shilingi 118 na diseli kupunguzwa kutoka shilingi 115 hadi  shilingi 107.

Show More

Related Articles