HabariSwahili

Okiya Mtata aelekea kortini kupinga  sura mpya ya polisi

Mwanaharakati Okiya Omtata amefika mahakamani kupinga mageuzi katika kikosi cha polisi yaliyopendekezwa hapo jana na rais Uhuru Kenyatta.
Mwanaharakati huyo anahoji kuwa mageuzi hayo yametekelezwa kinyume cha sheria.

Show More

Related Articles