HabariMilele FmSwahili

Jaji wa mahakama ya mazingira na ardhi Samuel Mukunya afariki

Jaji wa mahakama ya mazingira na ardhi Samuel Mukunya amefariki.Mukunya anadaiwa kufariki baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Embassy kwenye barabara kuu ya Nyeri kueleke Nyahururu.Jaji mkuu David Maraga amemtaja mwendazake kama jaji shupavu na ambaye mchango wake utakosekana pakubwa katika idara ya mahakama.

Show More

Related Articles