HabariMilele FmSwahili

Mwizi wa kuku apigwa hadi kufa Nambale

Mshukiwa wa wizi wa kuku amepigwa hadi kufa na wenyeji wenye ghadhabu katika kijiji cha Segero eneo bunge la Nambale.OCPD Robert Ndambiri anasema mshukiwa wa miaka 40 alinaswa na kuku kadhaa ndani ya gunia, wanaodaiwa kuibwa.

Show More

Related Articles