HabariMilele FmSwahili

Gavana Nyong’o auguza majeraha katika hospitali ya Agha Khan Nairobi

Gavana wa Kisumu Anyang’ nyong’o anauguza majeraha katika hospitali ya Agha Khan hapa Nairobi baada ya kuanguka. Gavana Nyong’o alipata jeraha katika mkono wake wa kushoto alipoteleza akiwa katika kaunti ya Nyeri ambako alihudhuria mkutano kuhusu huduma za afya kwa wote.

Show More

Related Articles