HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaongeza muda wa kuendelea kuhudumu spika Beatrice Elachi

Mahakama ya leba imeongeza muda tena kuendelea kuhudumu spika wa bunge la Nairobi Beatrice Elachi, na kuwazuia wawakilishi wadi kaunti ya Nairobi dhidi ya kumbandua mamlakani spika Beatrice Elachi. Jaji wa mahakama hiyo Stephen Radido pia ametupilia mbali ombi la wawakilishi hao kubatilishwa agizo la awali la kuongeza muda huo. Jaji Radido amesema mahakama hiyo haina mamlaka kutoa uamuzi huo.

Show More

Related Articles