HabariMilele FmSwahili

Msichana wa miaka 4 akatwa vidole na babake Kirinyaga

Msichana wa miaka minne anauguza majeraha katika hospitali ya Kerugoya Level 4 kaunti ya Kirinyaga baada ya kukatwa vidole na babake.Inadaiwa baba huyo alimkata vidole mtoto wake nyumbani kwao katika soko la Kagio. Haijabainika kilichompelekea baba kuchukua hatua hiyo.

Show More

Related Articles