HabariMilele FmSwahili

TSC leo yaadhimisha miaka 50 tokea kubuniwa kwake

Tume ya kuwaajiri walimu TSC leo inaadhimisha miaka 50 tokea kubuniwa kwake.Sherehe ya kitaifa ya maadhimisho hayo inaendelea wakati huu katika jumba la KICC. Waziri wa elimu Amina Mohamed anaongoza sherehe hizo na anatarajiwa kutangaza mikakati iliyowekwa kutanzua migogoro ambayo imekuwa ikishuhudiwa  baina ya TSC na mikungano ya walimu.

Show More

Related Articles