HabariSwahili

Ukosefu wa ardhi wamfanya mkulima kuwa mbunifu Makongeni-Thika
 

Kilimo cha mimea tofauti kwa kawaida hutekelezwa shambani lakini mkulima mmoja mtaa wa Makongeni mjini Thika amebuni njia mwafaka ya kujikimu kimaisha na vile vile kupata lishe kwa kushiriki kilimo kwenye paa la nyumba yake.

Anastacia Wanjiru amepanda aina tofauti ya mboga kwenye magunia kwenye paa lake kutokana na upungufu wa vipande vya ardhi ya kushiriki kilimo.

Show More

Related Articles