HabariMilele FmSwahili

Huenda ushuru unaotozwa bidhaa za mafuta ukapunguzwa kutoka asilimia 16

Huenda ushuru unaotozwa bidhaa za mafuta ukapunguzwa kutoka asilimia 16. Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa fedha Henry Rotich. Waziri anasema rais Kenyatta kwa sasa anaendesha mashauriano na wadau mbali mbali kupata suluhu muafaka kwa utata kuhusiana na nyongeza ya ushuru huo.

Show More

Related Articles