People Daily

Viongozi Katika Kaunti Ya lamu Wadai Kutengwa Na Serikali Kuu.

Wawakilishi wadi wa kike kaunti ya lamu  wameilaumu serikali ya kitaifa  kwa kile wamekitaja kuitenga kaunti hiyo katika masuala ya maendeleo.

Mwakilishi wa wadi mteule wa bunge la kaunti ya Lamu  Amina Kale, amesema pia vijana wa kike hasa wanafunzi wamekuwa wakidhulumiwa kwa kunajisiwa na kupachikwa mimba za mapema, hali inayowafanya  kuacha shule na kuolewa mapema.

Show More

Related Articles