HabariPilipili FmPilipili FM News

Wazazi Dhidi Ya Kuwaoza Mabinti Zao Wenye Umri Mdogo.

Wazazi wa kijiji cha Naserian huko Lungalunga  kaunti ya Kwale wametakiwa kukomesha mbinu za kijanja wanazotumia  kuwaoza mabinti zao wa umri mdogo.

Afisaa tawala wa eneo bunge la lungalunga Edward chibu amesema asilimia kubwa ya wazazi  walio na watoto wao wakike katika shule  ya msingi  ya Naserian  hutumia lugha ya kuwa wanaomba uhamisho wa watoto hao shuleni  humo kisha uhamisho huo hunabadilika kua ndoa  na mimba  za mapema  jambo ambalo amelilaani vikali.

Show More

Related Articles