HabariMilele FmSwahili

Serikali yahimizwa kukoma kuchukua mikopo kutoka mataifa ya kigeni

Shinikizo linazidi kutolewa kwa serikali kukoma kuchukua mikopo kutoka mataifa ya kigeni ili kufadhili miradi nchini. Mbunge wa Emgwen Alex Kosgey anaonya kuwa Kenya huenda ikalazimika kusamilisha baadhi ya raslimali na mkundo msingi yake iwapo itafeli kulipia mikopo inayochukua.Kadhalika Kosgey anataka wizara ya fedha kutoa mwelekeo ufaao kuhusiana na mbinu za kupunguza matumizi ya serikali.

Show More

Related Articles