Mediamax Network Limited

Sauti Tajika : Alex Mwakideu

Alex Mwakideu, si jina geni kwa wengi ila wageni wa radio.
Huyu akiwa ni mtangazaji mtajika, ueledi wake, kwenye fani ya utangazaji umempa nafasi kuwa kati ya watangazaji wanaoenziwa na kusakwa mno na vituo vya redio nchini.
Hii leo Mwakideu anatufungulia awamu ya pili ya makala ya Sauti Tajika yatakayokuwa hewani kila Jumatano naye Joab Mwaura. makala yatakayokupa nafasi kuwafahamu wote wanaotumia  sauti zao kujipa riziki yao, kwenye televisheni, redio, na pia kwenye mitandao ya kijamii.