HabariSwahili

Wakiukaji wa sheria za trafiki kutozwa faini za papo hapo kuanzia Oktoba

Waziri wa usalama wa ndani dakta Fred Matiangi ametangaza kuwa serikali itaanza kutekeleza faini za papo hapo kwa muda wa siku 30 zijazo, kwa wanaovunja sheria za trafiki.
Hayo yamejiri huku Matiang’i akitangaza kuwa mipango imo mbioni kuhakikisha maslahi ya polisi yanashughulikiwa ipasavyo huku rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kuhutubia maafisa hao kesho na kuzindua mapendekezo ya kubadili sura ya kikosi cha polisi.

Show More

Related Articles