HabariPilipili FmPilipili FM News

Ungezeko La Bei Ya Mafta Laathiri Utalii Katika Kaunti Ya Lamu

Waakilishi wadi wa kike kaunti ya Lamu wanadai ongezeko la bei ya mafutaa limeadhiri usafiri na biashara ya utalii katika kaunti hiyo.

Amina  Kale ambaye ni mwenyekiti wa chama cha wanawake Lamu ameitaka serikali kuingilia kati kuhakikisha suluhu imepatikana kuhusu ongezeko hilo, ambalo amelitaja kusababisha kupanda kwa gharama ya maisha kwa mwananchi wa kawaida.

Kiongozi huyo ameyazungumza haya kwenye warsha iliyowaleta pamoja viongozi wa kike kutoka LAMU hapa mombasa.

Waakilishi wadi wa kike kaunti ya Lamu wanadai ongezeko la bei ya mafutaa limeadhiri usafiri na biashara ya utalii katika kaunti hiyo.

Amina  Kale ambaye ni mwenyekiti wa chama cha wanawake Lamu ameitaka serikali kuingilia kati kuhakikisha suluhu imepatikana kuhusu ongezeko hilo, ambalo amelitaja kusababisha kupanda kwa gharama ya maisha kwa mwananchi wa kawaida.

Show More

Related Articles