HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanao Uzia Wanafunzi Mihadharati Waonywa Vikali.

Kamishna wa kaunti ya mombasa Evans Achoki amewagiza walimu wakuu kufanya uchunguzi na kutoa taarifa kuhusu wanafunzi ambao hawako shuleni, akisema wazazi watakaopatikana na hatia ya kutowapeleka watoto shule watachukuliwa hatua.

Ametoa onyo kali kwa wanawake wanaowauzia dawa za kulevya vijana, akisema baadhi yao wanajulikana na kwamba chuma chao kimotoni.

Show More

Related Articles