HabariSwahili

Wakuu wa usalama wajadiliana kuhusu mapendekezo ya NPSC

Wakuu wa usalama wa kimaeneo kote nchini wanaendelea na mkutano wa kupiga msasa mapendekezo ya tume ya huduma za polisi yanayolenga haswa kuunganisha kikosi cha polisi wa kawaida na polisi tawala.
Waziri wa usalama dakta Fred Matiang’i aidha anatarajiwa kuhudhuria mkutano huo kesho kutathmini mapendekezo hayo yatakayozinduliwa rasmi na rais Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi.

Show More

Related Articles