Mediamax Network Limited

Mgaagaa na Upwa : James Gacheche Ng’ang’a ni fundi wa saa za kifahari

Huku wakenya wakikumbatia teknolojia ya rununu na kufanya saa ya mkononi kukosa maana na mafundi wa saa kukosa kazi, mzee mmoja wa miaka za sabini hivi jijini Nairobi James Gacheche Ng’ang’a bado anabobea katika kazi ya kukarabati saa za kifahari, kazi ambayo amefanya kwa takriban miaka arobaini.
La kushangaza ni kuwa uzee wake hata anatumia kifaa fulani kumsaidia kuona vipande vidogo vya sehemu za saa.
Mzalendo Kemboi anakupa uhondo kamili katika makala ya Mgaagaa Na Upwa.