HabariMilele FmSwahili

Kesi dhidi ya msaidizi wa Obado,Michael Oyamo yakosa kuanza leo

Kesi ya mauaji dhidi ya Michael Oyamo msaidizi wa gavana wa Migori Okoth Obado imekosa kuanza leo katika mahakama ya Homabay. Hadi tulipokwenda hewani Oyamo alikuwa hajawasilishwa mahakamani. Hii ni licha ya hakimu Leista Simiyu wa mahakama hiyo  kuwapa upande wa mashtaka na mawakili wa mshukiwa saa 24 kumuwasilisha mshukiwa mahakamani.Oyamo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya Sharon Otieno

Show More

Related Articles