HabariK24 Tv

Visa vya kujitoa uhai vimeongezeka kwa 58% katika kipindi cha miaka 10

Takwimu za kitaifa zinadokeza kuwa visa vya watu kujitoa uhai vimeongezeka nchini kwa asilimia 58  kwa kipindi cha miaka 10 sasa, huku wengi wanaojitia kitanzi wakiwa wanaume.
Huku leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha kuzuia watu kujitoa uhai, mwanahabari wetu Grace Kuria alizuru familia moja iliyoathirika hivi majuzi.

Show More

Related Articles