HabariSwahili

 Wahanga wa NYS waandamwa

Akaunti za washukiwa wa sakata ya shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS, sasa zitazidi kutwaliwa.
Jaji wa mahakama kuu Jesse Lesit ametoa agizo la kutwaa akaunti hizo zinazozingira kupotea kwa hadi shilingi milioni mia nne sitini na nane, baada ya ombi la mamlaka ya kutwaa mali.
Agizo hilo lilitolewa kwanza mwezi mei na lilikuwa likamilike Jumatatu wiki ijayo.

Show More

Related Articles