HabariSwahili

Msaidizi wa Gavana Okoth Obado afikishwa mahakamani Homabay

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Sharon Otieno Michael Oyamo ataendelea kuzuiliwa korokoroni licha ya kufikishwa mahakamani mjini Homabay.
Oyamo ambaye ni msaidizi wa gavana wa Migori Okoth Obado atawasilishwa tena mahakamani kesho ili kusomewa mashtaka.
Mawakili wake waliiomba mahakama kumuachilia huru kwa dhamana lakini hakimu akatupilia mbali ombi hilo akidai huenda maisha yake yakawa hatarini.

Show More

Related Articles