HabariMilele FmSwahili

Ruto awaonya wazazi wanaokosa kuwapeleka watoto shuleni

Naibu rais William Ruto amewaonya wazazi wanaokosa kuwapeleka watoto shuleni kuwa chuma chao ki motoni.Ruto anasema serikali imejitolelea kutoa elimu ya bila malipo ili kuhakikisha wanafunzi wote wanapata elimu.Akiongea huko Laikipia,Ruto amewaonya machifu na manaibu wao ambao hawaripoti visa hivyo kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Show More

Related Articles