HabariMilele FmSwahili

Mwanamume 1 ajinyonga Keroka mjini Kisii

Mwanamume mmoja wa umri wa makamo amejinyonga mapema leo eneo la Keroka Kisii.Polisi wanachunguza tukio hilo huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kinga dhidi ya kujinyonga. Maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika kwa sasa kaunti ya Embu huku idadi kubwa ya wakenya wanaojitoa uhai ikizidi kusajiliwa.

Show More

Related Articles