HabariMilele FmSwahili

Msaidizi wa Okoth Obado,Michael Oyamo kufikishwa mahakamani leo

Msaidizi  wa gavana wa Migori Okoth Obado, Michael Oyamo atafikishwa mahakamani leo. Oyamo na washukiwa wengine wanane watafunguliwa mashtaka dhidi ya mauaji ya Sharon Otieno mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo aliyepatikana ameuwawa wiki jana. hayo yanajiri huku mwakilishi kina mama kaunti ya Homabay Gladys Wanga sasa akipendekeza washukiwa katika mauaji hayo kutumika kama mashahidi ili kufanikishwa kunaswa wahusika wakuu.

Show More

Related Articles