HabariMilele FmSwahili

Mzee 1 wa miaka 80 ateketea nyumbani kwake katika kijiji cha Mkambi Reli

Mzee mmoja mwenye miaka 80 ameteketea kiasi cha kutoweza kutambulika kufuatia mkasa wa moto nyumbani kwake katika kijiji cha Mkambi Reli viungani mwa soko la Kipkaren kwenye  mpaka wa kaunti ndogo za Kakamega na Uasin Gishu usiku wa kuamkioa leo. Wanakijiji wanasema mwendazake anayeishi pekee aliteketea wakati akiwa amelala.Chanzo cha moto huo hakijabinika.

Show More

Related Articles