HabariMilele FmSwahili

Mtu 1 auwawa katika hospitali 1 Mombasa baada ya kuvamiwa na genge la wahuni

Mtu mmoja ameripotiwa kuuwawa huku wengine kadhaa wakiuguza majeraha katika hospitali ya Coast General mjini Mombasa baada ya kuvamiwa na genge la wahuni. Inaarifiwa uvamizi huo ulitekelezwa usiku wa kuamkia leo na genge lajulikana kama wakali wa kwanza katika eneo la mto panga. Visa vya mauaji eneo la Kisauni vimeripotiwa kukithiri maafisa wa usalama wakikashifiwa kufeli kudhibiti hali hiyo. Hii ni licha ya kuuwawa vijana watatu washukiwa wa ujambazi juma lililopita

Show More

Related Articles