HabariK24 TvSwahiliVideos

Mke mnyofoaji akamatwa : Anadaiwa pia kumteka nyara na kumchoma kwa acid mpenziwe

Mke mnyofoaji akamatwa

Polisi mjini Kwale wamemkamata mshukiwa mmoja kwa jina Jane Wanjiku wachuka kwa madai ya kumnyofoa aliyekuwa mpenziwe na kisha kummwagia asidi kwenye uso katika eneo la Kinoo mjini Kikuyu.

Jane akishirikiana na Joshua Ngugi ambaye pia alikamatwa hii leo jijini Nairobi pamoja na mshukiwa mwingine mmoja ambaye bado hajapatikana, wanadaiwa kumteka nyara Paul Kyande tarehe 28 mwezi Agosti na kisha kutekeleza unyama huo.

 

 

Show More

Related Articles