HabariK24 TvSwahiliVideos

Taharuki Narok na Samburu : Watu 2 wauawa, wengi wajeruhiwa na nyumba kuchomwa

Familia 200 zimelazimika kuhama makwao katika eneo la Ngoben, Narok Kusini, kufuatia vita vya kikabila vilivyoanza siku tano zilizopita na kupelekea vifo vya watu wawili hapo Ijumaa.

Watu 28 wametiwa mbaroni hii Jumamosi huku kamati ya Narok kuhusu usalama ikifanya mkutano wa kuwarai jamii hizo kukumbatia amani na uwiano.

 

 

Show More

Related Articles