HabariSwahili

Mshukiwa wa jaribio la kumuua waziri wa zamani wa Garissa azikwa

Mshukiwa aliyedaiwa kumpiga risasi waziri wa fedha kaunti ya Garissa Idriss Mukhtar na kutiwa mbaroni na kisha kupatikana ameaga dunia kwenye seli ya polisi amezikwa.

David Mwai alizikwa leo eneo la Subukia kaunti ya akuru huku uchunguzi wa kupigwa risasi kwa Idriss ukiendelea.

Show More

Related Articles