HabariMilele FmSwahili

Uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa shule ya upili ya Sacred Heart Mukumu waendelea

Uchunguzi unaendelea kuhusiana na kisa cha kufariki mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya upili ya wasichana ya Sacred Heart Mukumu kaunti ya Kakamega. Kisa hiki kilichoibua utata kinajiri siku moja baada ya mamia ya wanafunzi wa shule hiyo kulazwa katika hospitali ya misheni ya Mukumu na ile ya  Kakamega. Inaarifiwa wanafunzi hao waliugua ugonjwa usiojulikana. Usimamizi wa shule haujatoa tamko kuhusiana na suala hili.

Show More

Related Articles