HabariSwahili

Familia nzima yaangamia kufuatia ajali mbaya Kinungi

Wingu la huzuni limetanda katika eneo la Ruiru kaunti ya Kiambu, baada ya familia mzima kuangamia yote  kwa muda wa  wiki saba pekee.
Familia ya Peter Kimani Gikonyo haipo tena, mwendazake akiangamia kwenye ajali ya barabarani eneo la Kinungi na  familia yake  yote, yaani  mkewe na mwanawe wa kiume.
Mtazamaji haya yalitokea mwezi mmoja tu baada ya kifo cha mwanawe wa kike baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku  alizuru kwao nyumbani na kutuandalia taarifa hii ya kuatua moyo.

Show More

Related Articles