Mediamax Network Limited

Wakenya wanaoishi ughaibuni walalamikia ugumu wa kupata pasipoti ya Kenya

Wakenya wanaoishi ughaibuni wamelalamikia ugumu wa kupata pasipoti ya Kenya.Wakizungumza baada ya kukutana na kushauriana na kinara wa ODM Raila Odinga kuhusiana na masaibu wanayopitia pia wametaka kuangaziwa ada inayotozwa kupata hati hiyo muhimu ya usafiri.Akizungumza baada ya kupokea lalama zao, Raila ameahidi kuziwasilisha kwa serikali ili kuangaziwa.