HabariMilele FmSwahili

Waiguru amtaka rais kusitisha utekelezwaji wa ushuru kwa mafuta

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amemtaka rais Uhuru Kenyatta kusitisha utekelezwaji wa ushuru wa asilimia 16 kwa mafuta. Gavana Waiguru anasema hatua hiyo haifai kwani imechangia kupanda kwa gharama ya maisha na kuwaathiri wakenya. Amesema serikali haina budi kupata mwafaka na wasambazaji mafuta pamoja na wahudumu wa magari ambao wamegoma na kupandisha nauli ya magari.

Show More

Related Articles