People Daily

Wavuvi 6 wa Kenya washtakiwa kwa kosa la kuvua samaki kwenye maji ya Uganda

Wavuvi 6 wa Kenya wametozwa faini ya shilingi elfu 37 kila mmoja au kifungu cha miaka 7 gerezani kwa kosa la kuvua saamaki kwenye maji ya Uganda. Mahakama moja nchini Uganda imesema imepokea ushahidi wa kutosha kuwahukumu wakenya hao kwa kuvua samaki kinyume cha sheria katika kisiwa cha Migingo.

Show More

Related Articles