HabariMilele FmSwahili

Walimu wanaohusiana kimapenzi na wanafunzi kutimuliwa wakipatikana

Walimu wanaopania kuingia katika uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wameonya wakipatikana watatimuliwa kazini.Hii ni kufuatia ripoti za ongezeko visa vya mahusiano baina ya walimu na wanafunzi. Katibu mkuu wa kutetea maswala ya walimu Mt. Elgon Stephen Chemonges anasema afisi hiyo inafuatilia kwa makini visa kama hivi na watakaopatikana chuma chao ki motoni.

Show More

Related Articles