HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Polisi wasaka waliomuua Sharon Otieno wa chuo cha Rongo

Polisi wameanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha mwanafuzi wa kike katika chuo kikuu cha Rongo Sharon Otieno anayedaiwa kuuawa na watu wanaosemekana kuwa wandani wa mwanasiasa maarufu kaunti ya Migori.

Inadaiwa msichana huyo alitekwa nyara na watu wasiojulikana pamoja na mwanahabari wa kampuni ya Nation aliyejinusuru kabla ya mwili wake kupatikana leo asubuhi katika msitu wa Kodera kaunti ya Homabay.

Show More

Related Articles