HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

NCPB yashikilia kuna mahindi ya kutosha kuwalisha Wakenya

Bodi ya nafaka na mazao NCPB imesema kuwa taifa lina magunia zaidi ya milioni 3.8 ya mahindi ambayo yanatosha kusambazwa katika kila pembe ya nchi na hakuna sababu ya kuongeza bei ya unga.

Hayo yamejiri huku muungano wa wanaosaga mahindi nchini ukitishia kuongeza bei ya unga wa mahindi na ngano kufuatia kuongezwa kwa ushuru wa bidhaa za mafuta kwa asilimia 16.

Show More

Related Articles