HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Raia 13 wa Uchina wanaofanya kazi CGTN wakamatwa na kuachiliwa

Maafisa kutoka idara ya uhamiaji hii leo walivamia makao makuu ya Runinga ya CGTN inayomilikiwa na serikali ya uchina iliyoko jijini Nairobi na kuwakamata wafanyikazi kumi na watatu wa runinga hiyo waliokosa stakabadhi za wahamiaji.

Aidha wafanyikazi hao waliachiliwa baada ya inspekta jenerali wa polisi kuingilia kati.

Show More

Related Articles