HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakenya waanza kufurika vituoni kujiwekea akiba ya mafuta 

Tume ya kudhibiti kawi ERC imetishia kuwapokonya leseni za kuhudumu wasafirishaji mafuta wanaogoma kwa kuhodhi bidhaa za petroli.

Mkurugenzi wa tume hiyo Parvel Oimeke anasema hawahusiki kivyovyote na hali hii kwani wanatekeleza sheria iliyopasishwa na bunge mwaka 2013.

Haya yanajiri wakati Inspekta Jenerali wa Polisi Joseph Boinett ameongoza shughuli ya kuhakikisha mafuta yanayozuiliwa katika shirika la usambazaji mafuta Kenya Pipeline zinarejelewa.

Show More

Related Articles