HabariPeople DailyPilipili FmPilipili FM News

Mwanamke Ang’atwa Mdomo Na Mumewe.

Mwanamke mmoja anauguza jeraha la mdomo eneo la bamburi hapa mombasa baada ya kung’atwa na mumewe kutokana na mzozo ya kinyumbani.

Ann Njeri Mugo anadai mumewe kwa jina David Wairuri ambaye wameoana kwa miaka 26, amekuwa na mazoea ya kumpiga mara kwa mara akiwa mlevi,kwa madai yakutokua mwaminifu  katika ndoa

Mzee wa mtaa wa eneo hilo amethibtisha kisa hicho akisema tayari wameripoti kwa polisi, na kwamba wanasubiri mshukiwa achukuliwe hatua kisheria.

Show More

Related Articles