HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanao Endesha Dhulma Za Kijinsia Katika Kaunti Ya Taita Taveta Waonywa Vikali.

Onyo kali limetolewa na mwakilishi wa kike kaunti ya Taita Taveta Lydia Haika kwa watakaokiuka sheria dhidi ya dhulma za kijinsia.

Haika amesema atahakikisha haki inapatikana kwa waathiriwa na  kuwa watuhumiwa wanaotumia kigezo cha umaskini wakionywa kuwa hawatafua dafu na badala yake watakabiliwa kisheria.

Mwakilishi huyo wa kike  amesema anashughulikia kesi hizo ili kuhakikisha waathirika watapata haki.

Show More

Related Articles