HabariMilele FmSwahili

Wabunge wasusia mkao ulioitishwa na Keter kujadili suala la kupanda kwa bei ya mafuta

Wabunge wamesusia mkao maalum ulioitishwa na mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter kujadili suala la kupanda bei ya bidhaa za mafuta. Kinyume na madai ya Keter kwamba wabunge 150 watashiriki mkao huo jana, ni wabunge 20 pekee walijitokeza.Sasa Keter anasema atatumia mtandao wa Whatsapp kuwafikia wabunge wenza kujadili jinsi bunge litahusika kupata mwafaka kwa suala la mafuta.

Show More

Related Articles