HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kurejea nchini leo baada ya ziara ya siku mbili China

 Rais Uhuru Kenyatta anarejea nchini leo baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili nchini China. Rais anarejea nchini wakati shinikizo zikitolewa kwa serikali kubatili agizo la kutekelezwa nyongeza ya ushuru unaotozwa bidhaa za petroli. Wadau mbali mbali wakiwemo wabunge na magavana wamemtaka rais Kenyatta kutia sahihi msuada wa bunge kuahirisha kwa miaka 2 utekelezaji wa sheria hiyo.

Show More

Related Articles