HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wataalamu wa kiuchumi washauri Wakenya kukabili hali ilivyo

Wataalamu wa masuala ya uchumi wanawashauri wabunge na rais kujadiliana kwa kina kuhusu ongezeko la ushuru wa asilimia 16, na kusisitiza kuwa ushuru lazima ulipwe hata iwapo asilimia hiyo itapunguzwa kidogo.
Mtaalamu wa kiuchumi Gerishon Ikiara anasema kuwa iwapo ushuru huo utasitishwa , itakuwa vigumu kwa serikali kuafikia ajenda ya maendeleo.

Show More

Related Articles