HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Idara ya hali ya anga yaonya maeneo kadhaa kukumbwa na mafuriko

Idara ya utabiri wa hali ya anga imetangaza kwamba mvua kubwa inatarajiwa humu nchini katika msimu wa Oktoba hadi Disemba.

Kulingana na idara hiyo, sehemu nyingi za nchi haswa maeneo ya magharibi mwa Kenya, zitashuhudia mvua kubwa kuliko kawaida.

Show More

Related Articles