HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakenya waanza kubadili bajeti zao kustahimili hali ngumu ya maisha 

Mamia ya wakaazi wa hapa jijini Nairobi na miji mingine wamelazimika kutembea masafa marefu kuelekea kazini baada ya wenye magari kuongeza nauli  kwa asilimia ishirini kutokana na ongezeko la bidhaa za petroli.
Baadhi ya vituo vya  bidhaa za mafuta aidha vilisalia kufungwa huku wakenya wakibuni mbinu za kuishi haswa kujinasua kutokana na makonde ya hali ngumu ya maisha.

Show More

Related Articles